Month: December 2020

Aliamka gethaa za ngware. Alitry vile angeweza kufunngua macho juu alikuwa amebleki saa nane saa usiku. Janta ilikuwa imeshika kushika… Na vile alikuwa doki msimo huu wa Mbagathi (COVID-19) alikuwa amewekwa bumper daily. Alikuwa anadoro kwa ka single alikuwa amekodisha pale Ngumo ndio aweze kuishia Kenyatta wakati akiitwa. Mamaa na watoi walikuwa wanaparki kwa mtaa
0 Comments